| Spacious Sea View/City View Room With Lounge Access - King Bed | Kinafaa kwa wanaokaa kwa ajili ya biashara au starehe, chumba chetu cha mita za mraba 50 aina ya Club Rotana Room chenye madirisha yanayoanzia kwenye sakafu hadi kwenye dari ni sehemu ya kupumzika na kufurahia mandhari nzuri ya bandari au Jiji. Pamoja na mapambo ya kupendeza, meza ya kufanyia kazi, visitawishi vya kisasa na vitanda vyenye ukubwa wa King, kinafaa wasafiri wa safari za haraka. |
| |
|
| Spacious Sea View/City View Room with Lounge Access- Twin Bed | Kinafaa kwa wanaokaa kwa ajili ya biashara au starehe, chumba chetu cha mita za mraba 50 aina ya Club Rotana Room chenye madirisha yanayoanzia kwenye sakafu hadi kwenye dari ni sehemu ya kupumzika na kufurahia mandhari nzuri ya bandari au Jiji. Pamoja na mapambo ya kupendeza, meza ya kufanyia kazi, visitawishi vya kisasa na vitanda pacha, kinafaa wasafiri wa safari za haraka. |
| |
|
| Spacious One Bedroom Suite with Lounge Access | Jitendee haki kukaa kwenye chumba kikubwa cha mita za mraba 100 cha Club Rotana Suite kilicho na sehemu ya kulia chakula na sebule ya kupumzikia inayotazama bandari ya Dar es Salaam iliyochangamka au anga lake kupitia madirisha yanayoanzia sakafuni hadi kwenye dari. Kukiwa na jiko lenye vifaa vyote, meza ya kufanyia kazi na samani na mapambo ya kupendeza, unaweza kufanya kazi au kupumzika kwa mtindo ukiwa Johari Rotana. |
| |
|
| ONE BEDROOM SUITE WITH LOUNGE ACCESS - City View | Tazama mandhari ya kuvutia ya jiji lenye shughuli nyingi kutoka kwenye Suite yetu ya mita za mraba 75. Ikiwa na mwanga mwingi wa asili, suite hii ni chaguo bora kwa wasafiri wa kibiashara na wa mapumziko wanaotafuta ubora. Suite hii ina eneo tofauti la kulia chakula na sebule, mabafu mawili, moja likiwa ndani ya chumba cha kulala lenye bafu na mvua ya kuoga ya kisasa—na choo cha ziada kilicho kwenye sebule kwa urahisi. Furahia huduma ya kipekee ya Club Rotana Lounge iliyoko ghorofa ya 24. ٠ Furahia mandhari ya kuvutia ya bandari na jiji la Dar es Salaam. ٠ Pumzika kwenye bafu lako au chini ya mvua ya kuoga ya kisasa. ٠ Tazama chaneli uzipendazo kupitia televisheni ya satelaiti. ٠ Pumzika kwenye samani za kisasa na zenye starehe. |
| |
|
|
|