|
Johari Rotana Iko katika eneo la kuu katika Kituo cha Biashara cha Dar Es Salaam na kando ya pwani ya Bahari ya Hindi, Johari Rotana inatoa huduma ya kifahari na ustadi wa mijini na utulivu wa baharini. Iko dakika 30 tu kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, hoteli hii ya nyota tano ni kubwa zaidi jijini Dar es Salaam na ina vyumba na suite 193 pamoja na apartment 60 zilizo na huduma kamili, kila kimoja kikitoa mtazamo wa bandari au mwonekano wa mji. Anza siku yako kwa kifungua kinywa Zafarani, tulia na kinywaji Hamilton’s Gastropub, au pumzika kando ya pool. Jirifresha katika Zen the Spa au tanya mazoezi katika Bodylines Fitness & Wellness Club. Kwa faida za Club Rotana na ukumbi mkubwa zaidi wa hoteli nchini Tanzania, unaofaa kwa harusi, gala na mikutano, hoteli hii ni chaguo kamili kwa wageni wa kibiashara na wale wanaotafuta mapumziko. | ||||||||||||||
|
Furahia Sehemu za Masoko |
Tembelea Waterfront Slipway shopping centre |
Burudani ya Maji |
Furahia siku ya burudani kwenye Uwanja wa Maji wa Wet N' Wild. |
Makumbusho ya Kijiji |
Tambua na kujifunza Maisha halisi ya Kiswahili katika makumbusho ya Taifa. |
Kisiwa Cha Mbudya |
Tembelea kisiwa hiki cha kupendeza kwa usafiri wa boti |
| ||
|
MALAZI
| ||||
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Chill & Grill Furahia nyama choma na burudani kila siku ya Jumamosi |
Jifunze Zaidi |
Sunday Brunch na Zaidi Furahia chakula kitamu, vinywaji bila kikomo na burudani kila Jumapili. |
Jifunze Zaidi |
Chai Ya Mchana Tembelea mgahawa wa Kibo na ufurahie chai ya mchana ya kifahari |
Jifunze Zaidi |
Usiku wa Sigara Kila Jumanne jumuika na wenzako kwenye usiku wa sigara na vinywaji |
Jifunze Zaidi |
PICHA Tazama kwa karibu
| |
|
|