Johari RotanaRRRRR
WEKA NAFASI SASA
BURUDANI 

Jenga mwili, furahia michezo au pumzika tu ukiwa Bodylines Fitness & Wellness Club inayotoa nyenzo kadhaa kwa ajili ya wageni wa biashara na starehe pamoja na familia zao.

Wageni watavutiwa na mandhari ya bandari ya Dar es Salaam wanapokuwa wanafanya mazoezi kwenye chumba cha mazoezi kilichopo ghorofa ya 8, kikiwa na zana zote za mashine za uzito na tizi, huku bwawa la kuogelea la nje linatazamana na Bahari ya Hindi.

Wageni wanaweza kupumzika katika vyumba vya sauna na mvuke au wakafanyiwa tiba ya kukanda mwili katika vyumba vitatu vya spa.

Nyenzo za starehe pia hujumuisha ulingo wa mchezo wa ngumi, saluni ya nywele na klabu cha watoto kikiwa na sehemu ya kuchezea iliyopo kwenye ghorofa hiyohiyo ambapo upo mgahawa wa Hamilton’s Gastropup na bwawa la kuogelea.

Saa za Ufunguzi:
Bwawa la Kuogelea: 10.00 am – 5.00 pm
Chumba cha Mazoezi (Gym): Saa 24
Sauna, vyumba vya mvuke: 10.00 am – 10.00 pm Klabu cha Watoto: 10.00 am – 5.00 pm

Masharti yetu ya Matumizi
Sera ya Faragha
Cookie Settings
© Hakimiliki 2024 Shirika la Usimamizi wa Hoteli Rota PJSC.
MAWASILIANO
LUGHA
MENYU
Tovuti hii inatumia vidakuzi ili tuweze kuboresha uzoefu wako wa mtumiaji na kupima utendaji wa tovuti yetu. Ikiwa utaendelea kutumia tovuti hii, utakuwa umekubali matumizi yetu ya vidakuzi.
Soma Tamko la Kidakuzi
KUBALI