Chagua TareheAngalia Upatikanaji
JOHARI ROTANA
Zafarani All day dining

Una uchaguzi mwingi wa vyakula ukiwa Zafarani, mgahawa wetu wa kisasa wa siku nzima ambapo wapishi wetu wenye vipaji vya hali ya juu wanaandaa vyakula vinavyovutia na mapishi ya Kimediterania, Kihindi, Kiarabu na Kiswahili. Wageni wanaweza kujaribu ladha za vyakula kutoka duniani kote wakati wa kifungua kinywa, chakula cha mchana na cha jioni katika eneo hili la kustarehesha lenye mwanga mtulivu. Chagua kutoka kwenye bufee kubwa au chagua chakula unachokipenda kutoka kwenye menyu yetu ya a la carte.

Uhifadhi wa meza
Tazama Menyu
PANGA ZIARA YAKO
Mapishi ya Kimediterania, Kihindi Kiarabu na Kiswahili
Funguliwa Siku Nzima
Maelekezo
T+0659070800
fb.johari@rotana.com
Tazama kwa karibu
Tazama Picha
Chakula cha Mchana cha Kibiashara cha Haraka ndani ya Zafarani

 

Iwapo unakutana na mteja au unafurahia mapumziko ya chakula cha mchana na wenzako, fika kwenye mkahawa wa Zafarani All Day Dining Restaurant kwa buffet yetu ya chakula cha mchana cha kibiashara, yenye aina mbalimbali za vyakula kuanzia vya Kitanzania hadi vya Kimataifa ambavyo vitakushibisha na kukuridhisha.

 

🕐 Jumatatu - Ijumaa 12:30 mchana hadi 3:30 jioni
💰 75,000 TZS kwa mtu mmoja

 

📞 Kwa maelezo zaidi au kufanya booking, wasiliana nasi.

   

 

 Sheria na Masharti 
Brunch and Beyond at Zafarani

Furahia Brunch Buffet na Marafiki na Familia katika Mkahawa wa Zafarani kila Jumapili kuanzia saa 6:30 mchana hadi saa 9:30 alasiri kwa 169,000 TZS kwa mtu mmoja, ikijumuisha bubbly isiyo na kikomo.

Unaweza kuchagua kutoka kwenye buffet yetu kubwa yenye vyakula vya kipekee vya Kiswahili, Kimataifa, Kihindi na Kiitaliano, chaguo la mboga mboga, vyakula vya baharini, waffles safi na ice cream ya nyumbani, vionjo vya dessert visivyoweza kupingwa na vingine vingi. Usisahau kutembelea vituo vyetu vya kupikia vya moja kwa moja huku ukiburudika na bendi bora za muziki za Dar es Salaam.

Watoto watafurahia muda mzuri na shughuli mbalimbali za kuvutia katika eneo lao la michezo, huku wakifurahia punguzo la familia la 85,000 TZS kwa watoto wenye umri wa miaka 6 hadi 11, na watoto walio chini ya miaka 6 wakila bure.

📞 Kwa maelezo zaidi au kufanya booking ya meza, wasiliana nasi.

   

 

 Sheria na Masharti 
JOHARI ROTANA
Nyingine Migahawa na Baa
Hamilton’s Gastropub
Gastropub iliyochangamka inayoandaa vyakula vya Kiuingereza na Kimarekani
Uhifadhi wa meza
Jifunze Zaidi
Noble House
Furahia mapishi halisi ya Kichina katikati ya Jiji la Dar es Salaam
Jifunze Zaidi
Kibo Lobby Lounge
Ukumbi wa kupumzikia unaotoa huduma za chai, kahawa na vitafunio
Jifunze Zaidi
Huduma ya chakula chumbani
Burudika na huduma ya chakula chumbani ya saa 24, kukiwa na menyu ya vitafunio, vinywaji baridi na mapishi ya kimataifa
Jifunze Zaidi
The Cigar Lounge
Ukumbi wa Cigar wa kifahari ulioundwa kwa ajili ya wapenzi wa Cigar kufurahia mchanganyiko bora katika mazingira yenye utulivu na staha.
Jifunze Zaidi
Johari Rotana
Sokoine Drive
Tanzania
Maelekezo
T+255 659 070 800
johari.hotel@rotana.com
Gundua
Usaidizi
GUNDUA PROGRAMU YETU